Burundi yatangaza siku tano za maombolezo ya vifo vya wanajeshi Somalia | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Burundi yatangaza siku tano za maombolezo ya vifo vya wanajeshi Somalia

Serikali ya Burundi imesema haitawaondoa wanajeshi wake nchini Somalia,kufuatia shambulio la hapo jana ambapo wanajeshi wake 10 waliuawa na wapiganaji wa kundi la Al Shabab.

Burundi imetangaza leo siku tano za kuomboleza vifo vya wanajeshi hao.Mwandishi wetu wa mjini Bujumbura na ripoti kufuatia vifo vya wanajeshi hao.

Mwandishi : Amida Issa

Mpitiaji: Jane Nyingi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com