BERLIN: Merkel asifu mpango mpya wa kujumuisha jamii za wageni | Habari za Ulimwengu | DW | 13.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BERLIN: Merkel asifu mpango mpya wa kujumuisha jamii za wageni

Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel amesifu mpango mpya wa taifa wa kujumuisha wageni katika jamii za Kijerumani,kama ni hatua iliyo muhimu. Alipozungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari,baada ya kukutana na viongozi wa makabila mbali mbali mjini Berlin,aliutangaza mpango wa serikali kusaidia jamii za walio wachache.Sehemu ya mpango huo mpya ni kutoa mafunzo zaidi ya lugha ya Kijerumani ili kuweza kuwajumuisha wageni,bora zaidi katika jamii za Kijerumani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com