1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Chuki dhidi ya Wageni

Xenophobia ni hofu au chuki dhidi ya kile kinachochukuliwa na wenyeji wa eneo kuwa kigeni au kisicho cha kawaida. Inaweza kuhusisha hisia za kundi la ndani dhidi ya kundi la kigeni na shauku ya kuondoa uwepo wake.

Xenophobia inaelezwa kuwa ni hofu iliyokita mizizi dhidi ya wageni. Asili ya neno hilo ni maneno ya zamani ya Kigiriki - xenos - likimaanisha "kisichoeleweka" au "kigeni" na phobos - ikimaanisha "hofu". Katika ukurasa huu utapata maudhui za DW kuhusu chuki dhidi ya wageni au Xenophobia kwa Kiingereza.

Onesha makala zaidi