1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Berlin

Berlin ni mjii mkuu wa Ujerumani na una idadi ya watu milioni 3.5. Ni mji mkubwa kuliko yote nchini Ujerumani, unaovutia watalii wengi kutokana na kuwa ndio kitovu cha utamaduni wa Kijerumani.

Mji wa Berlin ulitambulika kwa mara ya kwanza karne ya 12. Baada ya vita vya pili vya dunia, wakati Ujerumani ilipogawiwa baina ya Ujerumani ya Magharibi na ile ya Mashariki , mji huu ulitenganishwa kwa ukuta unaoitwa Ukuta wa Berlin.

Onesha makala zaidi