BAGHDAD:Waziri Mkuu wa Australia afanya ziara nchini Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 18.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD:Waziri Mkuu wa Australia afanya ziara nchini Irak

Waziri Mkuu wa Australia bwana John Howard amekutana na waziri mkuu wa Irak bwana Nuri al Maliki mjini Baghdad na kumhakikishia mwenyeji wake kuwa Australia itaendelea na azma ya kuweka majeshi yake nchini Irak hadi lengo linalokusudiwa litakapotimizwa licha ya kuongezeka upinzani dhidi ya vita vya Irak miongoni mwa watu wa Australia.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com