BAGHDAD: Shambulizi la bomu Irak limeua watu 6 | Habari za Ulimwengu | DW | 16.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Shambulizi la bomu Irak limeua watu 6

Hadi watu 6 wameuawa mjini Baghdad katika shambulizi la bomu lililotegwa ndani ya gari. Wengine 25 pia wamejeruhiwa katika shambulizi hilo ambalo lililenga wanajeshi waliokuwa wakipiga doria.Wanajeshi 2 wa Kiiraki ni miongoni mwa wale waliouawa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com