Zanzibar:Hali ya uandikishaji kwenye daftari la kudumu kisiwani Tumbatu | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zanzibar:Hali ya uandikishaji kwenye daftari la kudumu kisiwani Tumbatu

Baada ya kutokea purukushani Kisiwani Pemba katika zoezi la kuwandikisha watu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura sasa hali kama hiyo imejitokeza katika kisiwa cha Tumbatu, kilioko kaskazini mwa Kisiwa cha Unguja.

Jana ilibidi polisi watumie mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya watu wanaosemekana walikivamia kituo cha uandilishaji wapiga kura. Maafisa wa chama cha upinzani cha CUF Visiwani Zanzibar wanasema wengi wa wafuasi wao wamekataliwa kupewa haki ya kujiandikisha kuwa wapiga kura.

Othman Miraji amezungumza kwa njia ya simu na mkaazi wa Kisiwa cha Tumbatu, Shamata Akida, kutaka kujua hali ilivyo...

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com