Zanzibar: Mivutano iliyopo katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 22.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Zanzibar: Mivutano iliyopo katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kamati ya uchunguzi ya CCM ilikutana na wajumbe wa Baraza la wawakilishi Zanzibar.

Mwanzoni mwa wiki hii Kamati ya Uchunguzi ya chama tawala cha CCM nchini Tanzania ilikuwa visiwani Zanzibar kutafuta maoni ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kufuatia mivutano iliyopo baina ya wajumbe hao na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Grace Kabogo amezungumza na Hamza Hassan Juma, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Kiongozi wa Zanzibar, na alianza kuelezea kile kilichojitokeza katika mazungumzo baina ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Kamati hiyo inayojulikana kama kamati ya Mwinyi.

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com