Waziri wa usalama wa raia wa Burundi akutana na viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 07.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Waziri wa usalama wa raia wa Burundi akutana na viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Waziri wa usalama wa raia wa BURUNDI, GUILLAUME RUNYONI na ambae anaongoza kamati ya mawaziri wa ulinzi wa maziwa makuu amekutana na viongozi wa DRC ilikukadiria utekelezwaji wa mpango huo.

Kamati hiyo ya mawaziri iliundwa kufuatia mkataba wa amani,usalama na maendeleo uliotiwa saini na ma raïs jijini Nairobi,desemba 2006.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com