″Wauzaji wa kalamu wamepata soko kubwa″ | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

"Wauzaji wa kalamu wamepata soko kubwa"

Jijini Dar es Salaam mitaa imeonekana kuwa mitupu kwani watu wengi wamekwenda kupiga kura. Mwandishi wetu George Njogopa anasema wauza kalamu wamepata wateja wengi. Kulikoni? Sikiliza ripoti yake.

Sikiliza sauti 03:04

Ripoti ya George Njogopa kuhusu uchaguzi Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com