1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Freeman Mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa wa Tanzania, na mwenyekiti wa sasa wa chama kikuu cha upinzani - Chama cha Demokrasia na Maendeleo - Chadema. Pia ni mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro.

Akiwa mmoja wa waasisi wa CHADEMA mwaka 1992, Mbowe anafahamika kuwa mpangaji mahiri wa mikakati, na hivyo kumfanya kuwa mmoja wa wapanga mikkati wakuu wa chama hicho na kiongozi wake wa juu kabisaa. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za karibuni za DW kuhusu Mbowe.

Onesha makala zaidi