1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Samia Suluhu

Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa chama tawala nchini Tanzania, CCM. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.

Samia Hassan Suluhu ndiye makamu wa rais wa kwanza nchini Tanzania. Aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa mgombea mwenza wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu mama Samia Suluhu.

Onesha makala zaidi