Washukiwa wa mauaji ya wwandishi wa Habari wahukumiwa adhabu ya kifo nchini Kongo
28 Agosti 2007
Washukiwa watatu akiwemo askari mmoja waliohusika na mauaji ya Mwandishi wa Habari Bapuwa Mwamba mjini Kinshasa mwaka jana, wamehukumiwa adhabu ya kifo, na serikali ya Kongo imetakiwa kulipa fidia ya dola laki tisa kwa familia ya marehemu.