You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
18.05.2026
18 Mei 2026
Amnesty: Idadi ya watu walionyongwa duniani yaongezeka
08.05.2026
8 Mei 2026
Rwanda yasema mkosoaji wa serikali amekufa gerezani
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Amnesty: Walionyongwa wafika idadi ya juu katika miaka 44
Amnesty: Walionyongwa wafika idadi ya juu katika miaka 44
Shirika hilo limesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu adhabu ya kifo, watu 2,707 walinyongwa katika nchi 17.
HRW yataka uchunguzi huru wa kifo cha mkosoaji nchini Rwanda
HRW yataka uchunguzi huru wa kifo cha mkosoaji nchini Rwanda
Karasira alikuwa kizuizini kwa muda wa miaka mitano na kifo chake kimewashtua watu wengi nchini Rwanda na nje ya nchi.
Muuaji wa watoto wa chekechea nchini Uganda ahukumiwa kifo
Muuaji wa watoto wa chekechea nchini Uganda ahukumiwa kifo
Christopher Okello Onyum alikamatwa Aprili 2 akijaribu kutoroka kituo cha kulelea watoto Kampala alikoua watoto wachanga
Sheria mpya ya Israel yazusha mjadala wa haki za binadamu
Sheria mpya ya Israel yazusha mjadala wa haki za binadamu
Sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina imezusha mjadala mkali kimataifa kuhusu haki za binadamu na usawa wa sheria.
Israel yapitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina
Israel yapitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina
Wakosoaji wameitaja sheria hiyo kuwa ya kibaguzi, kinyume na katibu na inayokiuka sheria za kimataifa.
Mswada tata wa adhabu ya kifo watazamiwa kupitishwa Israel
Mswada tata wa adhabu ya kifo watazamiwa kupitishwa Israel
Bunge la Israel (Knesset) linatarajiwa kupiga kura kuhusu muswada huo wiki hii.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
74 wauawa kufuatia machafuko makali nchini Mexico
Majimbo 20 kati ya 32 ya nchini Mexico yaliathiriwa na ghasia baada ya kifo hicho cha "El Mencho."
Idadi ya waliouawa kutokana na hukumu ya kifo yazidi duniani
Amnesty International imesema maelfu ya hukumu nyingine za kifo huenda zilitekelezwa kwa siri.
Namibia baada ya kifo cha Rais Geingob
Namibia imeanza awamu mpya ya uongozi baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hage Geingob. Upi mwelekeo wake?
Je, kundi la Hezbollah liliundwa vipi?
Hezbollah ni kundi linalofadhiliwa na Iran lenye makao yake nchini Lebanon ambako pia lilianzishwa.
Mwanadiplomasia maarufu duniani, Kissinger afariki dunia
Henry Kissinger, aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
Je, kifo cha Prigozhin kitamuimarisha Putin?
Wengi walikitarajia kifo cha Yevgeny Prigozhin, lakini kile kinachowashangaza sana ni namna kilivyotokea.
Maudhui yote (588) kwenye mada hii