You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Amnesty: Idadi ya watu walionyongwa duniani yaongezeka
Katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu adhabu ya kifo, Amnesty imesema watu 2,707 walinyongwa katika nchi 17.
Amnesty: Walionyongwa wafika idadi ya juu katika miaka 44
Shirika hilo limesema katika ripoti yake ya kila mwaka kuhusu adhabu ya kifo, watu 2,707 walinyongwa katika nchi 17.
Je, kuna tatizo kuomboleza kifo cha mbwa wako?
Si kila mtu anaona mbwa kama mnyama tu. Kwa baadhi, ni zaidi ya rafiki—ni familia. Kifo cha mbwa wa Wema Sepetu sasa kim
HRW yataka uchunguzi huru wa kifo cha mkosoaji nchini Rwanda
Karasira alikuwa kizuizini kwa muda wa miaka mitano na kifo chake kimewashtua watu wengi nchini Rwanda na nje ya nchi.
Rwanda yasema mkosoaji wa serikali amekufa gerezani
Mkosoaji wa serikali ya Rwanda Aimable Karasira amefariki kwa kumeza dawa 'kupita dozi'.
Muuaji wa watoto wa chekechea nchini Uganda ahukumiwa kifo
Christopher Okello Onyum alikamatwa Aprili 2 akijaribu kutoroka kituo cha kulelea watoto Kampala alikoua watoto wachanga
Mataifa ya Kiislamu yakosoa sheria ya kifo ya Israel
Sheria hiyo ilipitishwa na bunge la Israel Jumatatu jioni, inawalenga Wapalestina wanaohukumiwa na mahakama za kijeshi.
Israel yakosolewa kupitisha hukumu ya kifo kwa Wapalestina
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imeikosoa vikali sheria mpya ya Israel itakayoifanya adhabu ya kifo kwa Wapalestina.
Bunge la Israel lapitisha sheria ya kifo kwa Wapalestina
Bunge la Israel limepitisha sheria inayoweka adhabu ya kifo kwa kunyongwa kama hukumu ya msingi kwa Wapalestina.
Sheria mpya ya Israel yazusha mjadala wa haki za binadamu
Sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina imezusha mjadala mkali kimataifa kuhusu haki za binadamu na usawa wa sheria.
Israel yapitisha sheria ya hukumu ya kifo kwa Wapalestina
Wakosoaji wameitaja sheria hiyo kuwa ya kibaguzi, kinyume na katibu na inayokiuka sheria za kimataifa.
Mswada tata wa adhabu ya kifo watazamiwa kupitishwa Israel
Bunge la Israel (Knesset) linatarajiwa kupiga kura kuhusu muswada huo wiki hii.
Adhabu ya kifo: Ni nchi gani zinatumia hukumu ya kifo?
Ingawa idadi ya nchi zinazotekeleza hukumu ya kifo inapungua, jumla ya watu wanaonyongwa inaongezeka.
Bunge la Israel kuamua kuhusu hukumu ya kifo kwa Wapalestina
Bunge la Israel kuamua kuhusu hukumu ya kifo kwa Wapalestina wanaowaua Waisraeli Ukingo wa Magharibi.
Waziri mkongwe wa Tanzania William Lukuvi afariki dunia
Lukuvi atakumbukwa kama miongoni mwa viongozi waliohudumu bungeni kwa miongo zaidi ya mitatu.
Iran yathibitisha kifo cha afisa wa usalama Ali Larijani
Taifa la Iran linazidi kudhoofishwa baada ya viongozi wake waandamizi kuuawa katika nyakati tofauti tofauti.
Iran yathibitisha kifo cha mkuu wa usalama Larijani
Kuuawa kwa wakuu wa kijeshi na usalama ni pigo jingine kubwa kwa Iran inayokabiliana na Marekani na Israel.
Watu tisa wauwawa Karachi baada ya kifo cha Khamenei
Takriban watu tisa wameripotiwa kufariki na wengine wengi kujeruhiwa.
Kifo cha Khamenei chaitikisa Iran na Mashariki ya Kati
Iran yakabiliwa na sintofahamu na hatari ya vita vikubwa vya kikanda kufuatia mauaji ya Ayotollah Ali Khamenei.
Tanzania: Mwili wa Kadinali Pengo waagwa Dar es Salaam
Maelfu ya Watanzania wauaga mwili wa Mwadhama Polycaro Kardinali Pengo, jijini Dar es Salaam.
Mexico yapeleka wanajeshi 10,000 kudhibiti ghasia
Mexico ni miongoni mwa mataifa ya kusini mwa Amerika yanayopambana na magenge ya biashara haramu ya dawa za kulevya.
74 wauawa kufuatia machafuko makali nchini Mexico
Majimbo 20 kati ya 32 ya nchini Mexico yaliathiriwa na ghasia baada ya kifo hicho cha "El Mencho."
Mexico yatuma wanajeshi 10,000 mitaani kukomesha ghasia
Nemesio "El Mencho" Oseguera, mbabe wa dawa za kulevya nchini Mexico aliuawa Jumapili kwenye operesheni kali ya kijeshi.
Imetimia miaka miwili tangu kifo cha Navalny
Urusi inashutumiwa kumuua Alexei Navalny aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Rais Vladimir Putin.
Spika wa Bundestag aitaka Israel isirudishe hukumu ya kifo
Spika wa bunge la Ujerumani, Bundestag, Julia Klöckner ameishauri Israel dhidi ya kuirejesha hukumu ya kifo.
Kivuko cha mpaka wa Rafah chafunguliwa tena
Kufunguliwa kwa kivuko cha Rafah ni muhimu wakati ambapo usitishaji wa mapigano kati ya Israel na Hamas unaendelea.
Mkuu wa jeshi la Uganda amtishia kifo kiongozi wa upinzani
Mkuu wa jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametishia kumsaka na kumuua kiongozi wa upinzani, Bobi Wine.
Iran yakanusha kutoa adhabu ya kifo dhidi ya waandamanaji
Msemaji wa idara ya mahakama ya Iran amesema hakuna adhabu yoyote ya kifo iliyotolewa inayohusiana na maandamano.
Iran yasema mwandamanaji Erfan Soltani hajahukumiwa kifo
Rais wa Marekani Donald Trump amesema "angetazama na kuona" akimaanisha tishio la hatua za kijeshi.
Waandamanaji nchini Iran wakabiliwa na adhabu ya kifo
Wanaharakati wa Haki za Binadamu wamesema kuwa karibu watu 2,571 wameuawa kufuatia hatua kali za vikosi vya usalama.
Bangladesh yaomboleza kifo cha waziri Mkuu wake wa zamani
Zia, mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa Waziri Mkuu aliaga dunia akiwa na miaka 80.
Afisa wa ngazi za juu wa jeshi la Urusi auawa
Idara za usalama za Ukraine zilidai kufanya shambulizi kama hili dhidi ya afisa wa ngazi za juu wa Urusi Disemba 2024.
Kifo cha 'Hadi' chazua vurugu kubwa Bangladesh
Hadi alifahamika zaidi wakati wa uasi wa 2024 uliokomesha utawala wa kidikteta wa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina.
Bangladesh yaitaka India imrejeshe Hasina nyumbani
Hasina alihukumiwa kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kuamuru kuandamwa kwa waandamanaji vijana.
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh ahukumiwa Kifo
Hukumu dhidi ya Hasina inahitimisha kesi ya miezi kadhaa inayohusisha shtaka la kuandamwa waandamanaji dhidi yake.
Sheikh Hasina wa Bangladesh akuhumiwa kifo
Hukumu hiyo iliyotolewa dhidi ya Sheikh Hasina imekuja miezi kadhaa kabla ya uchaguzi wa bunge wa Februari.
Shambulizi la droni lasababisha kifo cha mtu mmoja Ukraine
Urusi pia imeripoti uharibifu kutokana na mashambulizi ya droni za Ukraine.
Ben Gvir ataka hukumu ya kifo dhidi ya wafungwa wa Palestina
Ben Gvir atishia kugeuka mrengo wa Netanyau ikiwa mswada wake wa ''hukumu ya kifo kwa magaidi'' hautapitishwa.
Raila Odinga azikwa nyumbani Bondo baada ya ibada ya mazishi
Ibada ya mwisho ya kuuaga mwili wa aliyekuwa waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga ilifanyika nyumbani Bondo jimboni Siaya.
Raila Odinga kuzikwa baadaye leo kwao Siaya, Bondo
Maelfu ya Wakenya na watu mashuhuri kutoka kote barani Afrika wanahudhuria mazishi hayo ya Raila.
Umati wa watu wamsindikiza Odinga nyumbani Bondo
Umati mkubwa wa watu umekusanyika mjini Kisumu siku ya Jumamosi kushuhudia mwili wa mwanasiasa mpendwa Raila Odinga.
Mwili wa Odinga kuagwa kitaifa mjini Nairobi
Mwili wa kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga utaagwa kitaifa leo kwa ibada maalamu mjini Nairobi.
Kenya: Vurugu zashuhudiwa wakati wa kuagwa mwili wa Odinga
Raila aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80 anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumapili katika kijiji alikozaliwa cha Bondo.
Mwili wa Raila Odinga wawasili jijini Nairobi
Raila aliyefariki akiwa na umri wa miaka 80 atazikwa siku ya Jumapili katika kijiji alikozaliwa.
Kifo cha Odinga chaleta mshtuko na simanzi Kenya
Wakaazi wa Kibra walijitokeza kwa wingi na kuelekea mtaani Karen kwenye makaazi ya marehemu Raila Odinga.
Wakenya waendelea kuomboleza kifo cha Raila Odinga
Polisi wa India wamesema Odinga amefariki kutokana na mshtuko wa moyo.
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga afariki dunia
Hospitali ya Devamatha katika jimbo la Kerala imethibitisha taarifa za kifo chake Jumatano.
Kenya kizani baada ya tangazo la kifo cha Raila Odinga
Mji wa Kisumu nchini Kenya ambaa ni ngome kuu ya Odinga na siasa za eneo la Nyanza linashuhudia wimbi la waombolezaji.
Kenya yaomboleza kifo cha Raila Odinga
Raila anadaiwa kupoteza fahamu wakati wa matembezi ya asubuhi na kuaga dunia baada ya kufikishwa hospitalini.
Lebanon yaikosoa Israel kwa kushambulia Kusini mwa nchi yake
Rais Aoun amesema kwa mara nyengine tena Lebanon imeendelea kuvamiwa vibaya na Israel bila ya uhalali wowote.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 12
Ukurasa unaofuatia