1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Holocaust

Holocaust ni neno linalotumika zaidi kuelezea mauwaji ya maangamizi yaliyofanywa na Manazi dhidi ya Wayahudi.

Mauaji hayo yaliangamiza maisha ya Wayahudi milioni sita wakati wa utawala wa Kinazi 1933-1945. Katika ukurasa huu utapata taarifa mbalimbali za DW kuhusiana na mauaji ya Holocaust.

Onesha makala zaidi