Washington. Marekani yakanusha kumuua kiongozi wa Al-Qaida.
5 Oktoba 2006Matangazo
Jeshi la Marekani imekanusha ripoti kuwa imemuua kiongozi wa al Qaida nchini Iraq Abu Ayyub- al -Masri.
Msemaji wa jeshi la Marekani amesema kuwa hapo kabla walidhania ni mmoja kati ya watu waliouwawa katika shambulio, lakini hivi sasa wanaamini kuwa huenda haikutokea hivyo.