Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) kimetoa wito kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kufuta tamko la kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kwa kuwa halina nguvu kisheria na linaweza kuhatarisha amani.

Sikiliza sauti 03:57

Ripoti ya Salma Said kutoka Zanzibar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com