1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kisiasa wahimiza amani kuelekea uchaguzi

Elizabeth Shoo21 Oktoba 2015

Wawakilishi wa chama tawala cha Tanzania CCM na chama cha upinzani CHADEMA waelezea mipango ya kulinda amani wakati Tanzania ikielekea uchaguzi mkuu mwaka 2015.

https://p.dw.com/p/1GrP4
Dar Es Salaam Tanzania
Picha: George Njogopa

Mjumbe wa halmashauri kuu wa chama tawala nchini Tanzania, CCM, Mohammed Seif Khatib, anazungumzia amani inapewa kipaumbele gani katika wakati huu wa kampeni. Suala hilo linajadiliwa pia na mjumbe wa halmashauri kuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa.

Kusikiliza mahojiano ya wawakilishi hao wa vyama na Sudi Mnette, bonyeza alama ya spika za masikio hapo chini.