1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Ufaransa, Ujerumani na Italia wawasili Kyiv

16 Juni 2022

Viongozi wa nchi tatu zinazoongoza kiuchumi barani Ulaya wamewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kiev, katika ziara inayonuiya kuonyesha mshikamano wa Ulaya na Ukraine. Ujumbe huo wa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na waziri mkuu wa Italia Mario Draghi, ndio mzito zaidi kutoka Ulaya kuelekea Ukraine tangu nchi hiyo kuvamiwa na Urusi Mwezi Februari.

https://p.dw.com/p/4Cn3t