Ushindi wa Brazil dhidi ya Korea Kaskazini washangiliwa Sao Paulo | Michezo | DW | 16.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Michezo

Ushindi wa Brazil dhidi ya Korea Kaskazini washangiliwa Sao Paulo

Brazil iliishinda Korea Kaskazini mabao 2:1 katika mchuano ambao ulikuwa mgumu kwao

default

Blumer Elano wa Brazil akishangilia bao la pili alilotia katika wavu wa Korea Kaskazini

Ushindi wa Brazil dhidi ya Korea Kaskazini umezusha shangwe na nderemo katika barabara za mji wa Sao Paulo. Mohammed Abdulrahman ameungumza na shabiki mmoja wa soka, Mapande Gasi, ambaye kwanza anaelezea shamrashamra zilivyokuwa na hali ilivyo leo baada ya ushindi huo wa Brazil dhidi ya Korea kaskazini wa mabao 2-1.

Mahojiano Mohamed/Gasi Mapande (Sao Paulo)

Mpitiaji:Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NsCY
 • Tarehe 16.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NsCY