1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Brazil

Brazil ndiyo nchi ya tano kwa ukubwa duniani, na yenye idadi kubwa zaidi ya wazungumzaji wa lugha ya Kireno. Jamhuri hiyo ya shirikisho inakalia karibu nusu ya ardhi yote ya Amerika Kusini.

Brazil ina wakaazi zaidi ya milioni 200, na kulifanya hilo lililokuwa koloni kubwa zaidi la Ureno kati ya karne 16 na 19, kuwa lenye wakaazi wengin zaidi katika bara la Amerika Kusini. Brazil ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa, kundi la G20, BRICS, Mercosur na Jumuiya Mataifa ya Amerika. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za DW kuhusu Brazil.

Onesha makala zaidi