Umoja wa Afrika wakosoa waranti wa kukamatwa Bashir
28 Julai 2010Matangazo
Umoja wa Afrika umeikashifu mahakama ya kimataifa ya uhalifu -ICC kwa kumtolea rais wa Sudan Omar el Bashir waranti wa kukamatwa kwa tuhuma za kufanya mauaji ya halaiki. Walisema kitendo hicho ni dharau kwa Umoja wa Afrika.
Mwandishi: Leyla Ndinda
Mhariri:Josephat Charo