1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhuru wa Kosovo wazua mzozo

Mtullya, Abdu Said18 Februari 2008

Uhuru wa Kosovo wazua mzozo Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/D90c


►◄

PRISTINA.

Maalfu ya watu wamesheherekea uhuru wa Kosovo uliotangazwa rasmi bungeni na waziri mkuu wa jimbo hilo na hivyo kujitenga na Serbia.

Lakini hatua hiyo imeleta mgawanyiko kwenye baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.Kwa mujibu wa duru za kibalozi za nchi za magharibi, baraza hilo halikufukia msimamo wa pamoja kwenye kikao chake cha dharura juu ya taratibu za kuhusiana na nchi hiyo. Urusi iliyoitisha kikao hicho imelitaka baraza la usalama libatilishe uhuru huo.

Serbia pia imepinga hatua ya wakosovo kujitangaza uhuru........