TEHERAN: Putin na Ahmedinejad kujadili mradi wa nyuklia wa Iran | Habari za Ulimwengu | DW | 16.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TEHERAN: Putin na Ahmedinejad kujadili mradi wa nyuklia wa Iran

Rais Vladimir Putin wa Urusi amekwenda Teheran kujadiliana na Rais Mahmoud Ahmedinejad,mradi wa kinyuklia wa Iran uliozusha mabishano.Siku ya Jumatatu,Putin alipinga kuiwekea Iran vikwazo vikali zaidi.Kwa upande mwingine,waziri wa ulinzi wa Marekani Robert Gates,kwa mara nyingine tena ametoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuwa na msimamo mmoja kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Iran.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com