1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 27.09.2021

27 Septemba 2021

Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Ujerumani yanaonesha kuwa chama cha Social Democratic SPD kinaongoza kwa kupata takribani asilimia 26 ya kura//Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unamalizika leo bila ya kutolewa hotuba za viongozi wa Afghanistan na Myanmar//Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema anatarajia serikali ya Afghanistan itazijumuisha pande zote katika serikali yake

https://p.dw.com/p/40uF2