1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jerusalem

Jerusalem ni mmojawapo ya miji mikongwe na inayozozaniwa zaidi duniani. Unakutikana katika uwanda wa milima kati ya Bahari Mfu na Bahari ya Mediterrania.

Mji huo ni eneo takatifu kwa Waislamu, Wakristu na Wayahudi. Unatoa mchango muhimu kwa dini zote tatu na ni nyumbani kwa vituo kadhaa vya kidini, vikiwemo Haram Shariff, Hekalu la Milimani, na Ukuta wa Malalamiko. Waisrael na Wapalestina wote wanadai mji huu wa kale ndiyo mji wao mkuu. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu mji wa Jerusalem.

Onesha makala zaidi