1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 27.03.2021

27 Machi 2021

Nchi wanachama 180 za Umoja wa Mataifa zimejitolea kuhakikisha chanjo ya virusi vya corona inapatikana kwa usawa // Tume ya uchunguzi ya wanahistoria imesema Ufaransa ilishindwa kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994 // Rais wa Marekani, Joe Biden amewaalika viongozi 40 wa dunia katika mkutano utakaozungumzia mzozo wa mabadiliko ya tabia nchi

https://p.dw.com/p/3rG9a