Mwanaume mmoja wa Italia amefariki duniani kutokana na virusi vya Corona na hivyo kifo hicho kuwa cha kwanza kutokea barani Ulaya // Uganda imetakiwa kuchunguza shughuli zinazofanywa na waasi wanaoipinga serikali ya Rwanda // Uturuki imeitaka Urusi kuishawishi serikali ya Syria kusitisha mapigano kwenye jimbo la Idlib