1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 21.11.2018

21 Novemba 2018

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuhusishwa Saudi Arabia na mauaji ya Jamal Khashoggi, hakutoathiri uhusiano kati ya nchi hizo mbili // Wakosoaji wa kimataifa wamelitaka Shirika la Polisi la Kimataifa, Interpol kutoendelea na mipango ya kumuidhinisha mgombea wa Urusi kuwa rais wake mpya // Kiasi ya watu 50 wameuawa nchini Afghanistan katika shambulizi la kujitoa muhanga

https://p.dw.com/p/38d6z