Taarifa ya Habari Asubuhi 21.02.2020 | Media Center | DW | 21.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya Habari Asubuhi 21.02.2020

Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier amesema nchi hiyo imeungana dhidi ya vitendo vya chuki na ghasia // Tume ya Afya na Magonjwa ya China imesema kuwa wagonjwa wapya 889 wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona hadi kufikia jana // Saudi Arabia imesema kuwa imeyazuia na kuyateketeza makombora kadhaa yaliyorushwa na wanamgambo wa Houthi kuelekea kwenye miji ya nchi hiyo.

Sikiliza sauti 08:00