1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 15.07.2021

Grace Kabogo
15 Julai 2021

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel leo anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani, Joe Biden // Serikali ya Afrika Kusini inapanga kuwasambaza wanajeshi 25,000 kudhibiti ghasia zilizodumu kwa siku sita // Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro amepelekwa kwenye hospitali ya Sao Paulo ambako huenda akafanyiwa upasuaji

https://p.dw.com/p/3wUrO