1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 09.10.2019

Grace Kabogo
9 Oktoba 2019

Uturuki imesema jeshi lake litavuka mpaka wa Syria muda wowote kuanzia sasa//Serikali ya Rais Donald Trump haitoshiriki katika kile inachokiita uchunguzi usio halali dhidi ya rais//Umoja wa Mataifa umesema unakabiliwa na ''mzozo mbaya wa fedha'' kwa sababu nchi kadhaa hazijalipa ada zao

https://p.dw.com/p/3Quzc