Serikali ya Ujerumani yazindua mpango wa ufundishwaji wa lugha ya Kijerumani mashuleni
18 Januari 2010Matangazo
Serikali ya Ujerumani kwa ushirikiano na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania imezindua rasmi mpango wa ufundishwaji wa lugha ya kijerumani katika shule za sekondari nchini humo. Mwandishi wetu George Njogopa anaarifu zaidi kutoka Dar es Salaam.
Mtayarishaji. Josephat Charo
Mhariri. Othman Miraji