1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Karlsruhe

Karlsruhe ni mji wa kusin-Magharibi mwa Ujerumani inakokutikana mahakama ya juu kabisaa ya Ujerumani na wenye wakaazi takribani 300,000. Karlsruhe ndiyo mji wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Baden Württemberg.

Wenyeji maarufu wa Karlsruhe wanaanzia kwenye mgunduzi mgunduzi wa gari Karl Benz hadi kwenye nyota wa soka la Ujerumani kama Oliver Khan na Oliver Bierhoff. Kutokana na nafasi yake kama mji mkuu wa kisheria wa Ujerumani, ulikuwa pia mahala pa shambulizi baya kabisaa la ugaidi wa ndani wa kundi la Jeshi Jekundu, na mauaji ya Jenerali Siegfried Buback mwaka 1977. Ukurasa huu unakusanya maudhui za karibuni za DW kuhusu mji wa Karlsruhe.

Onesha makala zaidi