1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Idara ya ujasusi ya Ujerumani

Idara ya Ujasusi ya shirikisho la Ujerumani, BND, ndiyo shirika la ujasusi wa nje la Ujerumani. Inatoa tahadhari kwa serikali ya Ujerumani kuhusiana na vitisho vya nje kwa maslahi ya Ujerumani.

BND, ilioko chini ya ofisi ya kansela, inakusanya na kutathmini taarifa kuhusu masuala kuanzia ugaidi hadi uhamishaji haramu wa teknolojia kwa makundi ya uhalifu wa kupangwa. Makao yake makuu yako Pullach, karibu na Munich, na Berlin. Wafanyakazi wake wapatao 4,000 wanafanyakazi katika maeneo 300 nchini Ujerumani na katika mataifa ya kigeni. Hapa unaweza kupata mada mbalimbali kuhusu BND

Onesha makala zaidi