1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

BVG - Mahakama ya Katiba ya Ujerumani

BVG, au Bundesverfassungsgericht ni mahakama kuu ya katiba ya shirikisho la Ujerumani.

Mahakama ya Katiba ya Shirikisho la Ujerumani pia inafanya kazi kama Mahakama Kuu ya nchi, na ipo mjini Karlsruhe. Kimsingi mamlaka yake yanahusiana na masuala ya kikatiba. Inatazamwa pia kama msimamzizi wa taasisi mbalimbali, likiwamo bunge na serikali. Ubatilishaji wa sheria za msingi za Ujerumani, pia upo chini ya mamalaka ya mahakama hii.