PARIS:Jean MarieLe Pen awataka wafuasi wake wasusie uchaguzi wa duru ya Pili | Habari za Ulimwengu | DW | 02.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PARIS:Jean MarieLe Pen awataka wafuasi wake wasusie uchaguzi wa duru ya Pili

Kiongozi wa mrengo wa kulia Jean-Marie Le Pen nchini Ufaransa amewataka wafuasi wake kuususia uchaguzi war ais wa duru ya pili kati ya mgombea wa kihafidhina Nicolas Sarkozy na msosholisti Segolene Royal.

Le Pen alichukua nafasi ya nne kwenye duru ya mwanzo ya uchaguzi kwa kupata kura milioni 3.8.

Uchunguzi wa maoni uliofanywa jumatatu unaonyesha kuwa asilimia 89 ya wafuasi wa Le Pen watamchagua bwana Sarkozy.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com