Papo kwa Papo 02.08.2016 | Anza | DW | 02.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Papo kwa Papo 02.08.2016

Mamlaka ya Anga nchini Marekani imetoa kibali kwa kampuni ya Virgin Galactic kupeleka watalii angani kuanzia mwakani, Urusi yashambulia vikali ngome za waasi Aleppo nchini Syria baada ya helikopta yake kuagushwa, na wapinzani nchini Venezuela wapata sahihi za kutosha kuendeleza mchakato wa kumvua madaraka Rais Nicolas Maduro.

Tazama vidio 01:54