1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

National Super Alliance - NASA

National Super Alliance - kwa kifupi NASA, ni muungano wa vyama vya siasa za mrengo wa wastani wa kushoto nchini Kenya, ulioasisiwa Januari 2017.

Vyama vinavyounda muungano huu ni pamoja na Orange Democratic Movement (ODM), Wiper Democratic Movemenet (Wiper), Forum for the restoration of Democracy - Kenya (Ford Kenya), Amani National Congress (ANC), National Rainbow Coalition, Progressive Party of Kenya, Chama cha Uzalendo (CCU), na Muungano Party (MP). Viongozi wa muungano huo ni Raila Odinga, Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula, na Isaac Ruto.

Onesha makala zaidi