1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Juan Guaido

Juan Gerardo Guaidó Márquez ni mhandisi wa kiuchumi na mwanasiasa wa nchini Venezuela aliejitangaza mwenyewe kuwa rais wa mpito.

Juan Guaido ni spika wa bunge la Venezuela alietumia kifungu cha katiba kisichoeleweka vizuri kujitangaza kuwa rais wa mpito na mara moja akaungwa mkono na Rais wa Marekani Donald Trump akifuatiwa na mataifa mengine kadhaa ya Magharibi. Katika ukursa huu utapata mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Juan Guaido.

Onesha makala zaidi