Neuer atashiriki Dimba la Dunia nchini Urusi? | Media Center | DW | 23.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Neuer atashiriki Dimba la Dunia nchini Urusi?

Manuel Neuer amekuwa mlinda lango bora wa Ujerumani kwa miaka mingi. Lakini kufuatia jeraha la mguu amekuwa pembeni kwa miezi kadhaa bila kucheza. Je atakuwa katika hali sawa kulinda lango kikosi cha Ujerumani kitakaposhiriki Kombe la Dunia nchini Urusi? Mengi zaidi kumhusu Neuer ni katika vidio hii

Tazama vidio 01:06
Sasa moja kwa moja
dakika (0)