Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda afikishwa kwenye mahakama kuu ya kimataifa Arusha | Matukio ya Kisiasa | DW | 21.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda afikishwa kwenye mahakama kuu ya kimataifa Arusha

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeiomba jumuiya ya kimataifa na nchi jirani kuonyesha nia nzuri katika kumaliza vita na kuwaadhibu wahusika.

A man in Nyamata, 18 miles south of Kigali looks at hundreds of skulls, Jan. 26, 2002, at a memorial for victims of the 1994 genocide in Rwanda. More than 500,000 Tutsis and politically moderate Hutus were killed in the genocide and memorials have been built all over the central African nation to help the country's reconciliation process. (AP Photo/Saurabh Das

Mafuvu ya vichwa vya wahanga wa mauaji ya kimbari ya Rwanda

Wito huo ulitolewa na Waziri wa Habari wa Kongo na ambae ni msemaji wa serikali kufuatia sherehe maalum ya kumkabidhi Gregoire Ndahimana mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda (ICTR) ya Arusha, baada ya kukamatwa mwezi uliopita nchini Kongo. Mwandishi wetu mjini Kinshasa, Saleh Mwanamilongo ametutumia taarifa ifuatayo.

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com