1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

ICC - Mahakama ya kimataifa ya uhalifu

ICC ni Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inayotumika kushitaki uhalifu ikiwamo mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya ubinadamu, uhalifu wa kivita. Ilianzishwa kuisaidia kazi mifumo ya kitaifa ya mahakama za nchi tofauti.

Mahakama ya ICC inakuwa na mamlaka pale mahakama za kitaifa zinapokataa ama zinaposhindwa kufanya uchunguzi ama kuendesha mashitaka juu ya uhalifu wa aina hiiZaidi nchi ya nchi 120 ni wanachama wa mahakama ya ICC. Takriban nchi 30 ikiwamo Urusi zimejiandikisha lakini bado hazikuridhia mkataba wa mahakama hiyo. Hata hivyo Israel, Sudan na Marekani wameamua kutojihusisha na mahakama hiyo.

Onesha makala zaidi