Mtizamo wa nchi za Kiarabu kuhusu uchaguzi wa Iran | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.06.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Mtizamo wa nchi za Kiarabu kuhusu uchaguzi wa Iran

Picha za maandamano ya wairan wanaopinga matokeo ya uchaguzi wa rais nchini mwao zimeenea katika vyombo vya habari katika kila pembe ya dunia.

Maandamano ya Wafuasi wa Mir Hossein Mousavi, mjini Teheran

Maandamano ya Wafuasi wa Mir Hossein Mousavi, mjini Teheran

Tumetaka kujua hali ikoje katika nchi jirani za kiarabu katika ghuba la uajemi.

Oummilkheir alizungumza na mkuu wa kitengo cha habari cha umoja wa mataifa, Ahmed Rajab huko Dubai na kwanza alielezea jinsi nchi za kiarabu zinavyoyaangalia matukio nchini Iran.Mahojiano: Oummilkheir Hamidou/Ahmed Rajab

Mhariri: Mohamed AbdulrahmanSauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com