Mmoja wa walioshikiliwa katika gereza la Guantamo Bay kuachiliwa huru | Habari za Ulimwengu | DW | 28.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Mmoja wa walioshikiliwa katika gereza la Guantamo Bay kuachiliwa huru

CANBERA:

Baada ya kushikiliwa kwa kipindi cha miaka saba katika jela la Guantanamo Bay na nchini Australia, David Hicks alieunga mkono magaidi, ataachiliwa huru jumamosi.Serikali ya Australia imemuwekea masharti magumu ya kutembea.Hicks ndie mshukiwa wa kwanza wa ugaidi kuhukumiwa na mahakama ya kijeshi ya Marekani katika gereza la Guantanamo Bay Cuba, wakati alipokiri kosa lake mwezi Machi la kusaidia Al-Qaida. Aidha alikiri kuhudhuria kambi za mafunzo ya kigaidi nchini Pakistan.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com