Mkutano wa Wakuu wa Majeshi wa maziwa makuu mjini Bujumbura | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.04.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Wakuu wa Majeshi wa maziwa makuu mjini Bujumbura

Wakuu wa majeshi kutoka nchi nne za maziwa makuu, Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Rwanda, Uganda na Burundi wamemaliza mkutano wao wa siku moja mjini Bujumbura.

Lengo ni kuendeleza juhudi za kuyatokomeza makundi ya waasi yanayovuruga usalama wa eneo hilo zima la maziwa makuu.

Kutoka mji mkuu huo wa Burundi mwandishi wetu Gregoire Nijimbere ana ripoti kamili.


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com