Mkutano wa wakuu wa Idara za kudhibiti madawa ya kulevya nchini Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 10.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa wakuu wa Idara za kudhibiti madawa ya kulevya nchini Tanzania

Wakuu wa Idara za kudhibiti madawa ya kulevya kutoka majeshi ya polisi barani Afrika wamekutana mjini Arusha nchini Tanzania. Lengo hasa la mkutano huo ni kutathmini athari za madawa ya kulevya, mbinu za kuyasafirisha kutoka bara moja hadi jengine.

Mataifa ya Afrika hususan ya eneo la magharibi yanalengwa zaidi na wauzaji dawa za kulevya mfano Guniea Bissau. Guinea Bissau ina visiwa vingi kwenye eneo lake la pwani visivyokuwa na wakaazi wowote.

Mwandishi wetu Charles Ngereza kutoka Arusha alihudhuria mkutnao huo na kuandaa taarifa ifuatayo.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com