Mkutano wa Umoja wa Afrika na Ulaya kuhusu usalama unaofanyika Addis Abeba | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Umoja wa Afrika na Ulaya kuhusu usalama unaofanyika Addis Abeba

Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya umeandaa mkutano wa siku tatu mjini Addis Abeba, Ethiopia unaolenga kutafuta mkakati wa pamoja kwa ajili ya kupunguza athari za mabomu ya kutegwa ardhini na kuenea kwa silaha ndogo ndogo barani Afrika.

Wafanyakazi wakisaka mabomu yaliotegwa Ardhini nchini Angola

Wafanyakazi wakisaka mabomu yaliotegwa Ardhini nchini Angola

Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba anaripoti zaidi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com