1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ethiopia

Ethiopia ndiyo nchi huru kongwe zaidi barani Afrika na ya pili kwa wingi wa wakaazi baada ya Nigeria. Mbali na kukaliwa na miaka mitano na Italia ya Mussolini, nchi hiyo haikuwahi kutawaliwa na wakoloni.

Ina urithi wa kipekee wa kitamaduni, ikiwa ndiyo makao ya Kanisa la Orthodox la Ethiopia – ambalo ni moja ya makanisa ya kale ya Kikristo, na utawala wa Kifalme uliyomalizika tu katika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1974. Ilikuwa kama ishara ya uhuru wa Afrika katika kipindi chote cha ukoloni, na ilikuwa mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Mataifa, na kituo cha Kiafrika kwa mashirika mengi ya kimataifa.

Onesha makala zaidi